TANGAZO KWA WADAU WOTE WA KITUO CHETU

 Karibuni sana New Life Stationery kwa wewe kijana uliyemaliza kidato cha nne na una ndoto za kujiendeleza na masomo yako yaani Chuo na elimu ya juu 



JINSI YA KUFANYA MALIPO WAKATI WA KUHAMA CHUO AU KOZI KWA NGAZI YA CERTIFICATE & DIPLOMA.Top of Form

Hatua ya tatu: Ada ya uhamisho

Namba ya Malipo/Ankara Namba:
XXXXXXXXXXXX

Ili kukamilisha uhamisho wako unapaswa kulipia kiasi cha TZS 5,000/= kwa kufuata maelekezo yaliyo hapo chini.

T-PESA - TTCL

  1. Piga *150*71#
  2. Chagua 4. LIPA kwa T-Pesa
  3. Chagua 5. Malipo ya Serikali
  4. Chagua 1. Number ya Malipo
  5. Ingiza namba ya malipo (ankara namba)
  6. Ingiza kiasi (5,000/=)
  7. Weka namba ya siri.
  8. Bonyeza 1 kuthibitisha

Vodacom (M-PESA)

1.    Piga *150*00#

2.    Chagua 4. LIPA kwa M-Pesa

3.    Chagua 5. Malipo ya Serikali

4.    Chagua 1. Number ya Malipo

5.    Ingiza namba ya malipo (ankara namba)

6.    Ingiza kiasi (5,000/=)

7.    Weka namba ya siri.

8.    Bonyeza 1 kuthibitisha

TiGo Pesa

1.      Piga *150*01#

2.      Chagua 4. LIPA Bill

3.      Chagua 5. Malipo ya Serikali

4.      Tafadhali ingiza kumbukumbu namba (namba ya malipo)

5.      Ingiza kiasi (5,000/=)

6.      Weka namba ya siri.

7.      Bonyeza 1 kuthibitisha

HaloPesa

1.      Piga *150*88#

2.      Chagua 4. LIPA kwa HALOPESA

3.      Chagua 5. Huduma za Serikali

4.      Tafadhali ingiza kumbukumbu namba (namba ya malipo)

5.      Ingiza kiasi (5,000/=)

6.      Weka namba ya siri.

7.      Bonyeza 1 kuthibitisha

Airtel Money

  1. Piga *150*60#
  2. Chagua 4. LIPA
  3. Chagua 5. Malipo za Serikali
  4. Tafadhali ingiza kumbukumbu namba (namba ya malipo)
  5. Ingiza kiasi (5,000/=)
  6. Weka namba ya siri.
  7. Bonyeza 1 kuthibitisha

Banks

  1. CRDB Bank:
  2. National Microfinance Bank - NMB:
  3. National Bank of Commerce - NBC:

 

 

Karibu New Life Stationery uweze kufanya kile utakacho kwa njia ya mtandao (OLAMS, OLAS, etc)

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na:

Kaka Imma

@New Life Stationery – Mwanzugi Igunga

+255 629 189 819  E-mail: newlifemeneja@gmail.com

Website:

 

 

 

 

 

 

 

 

 

ANGALIZO:

 Nafasi uliyoomba kuhamia itaachwa wazi kwa muda wa masaa 24 ili kuruhusu ufanye malipo ya ada ya uhamisho, vinginevyo utakuwa umepoteza nafasi hii.

2020-08-18 14:50:55

© NACTE 2020

Comments